Nokia C2 05 - Okoa nishati

background image

Okoa nishati
Haustahili kuchaji betri yako kila wakati kama utafanya ifuatavyo:

Funga programu tumizi na miunganisho ya data, kama vile muunganisho wako wa

Bluetooth, wakati haitumiki.

Lemaza sauti zisizohitajika, kama vile toni za kitufe.