Nokia C2 05 - Upatikanaji na gharama ya huduma za Nokia

background image

Upatikanaji na gharama ya huduma za Nokia
Upatikanaji wa huduma za Nokia huenda zikatofautiana kimaeneo.

Kutumia huduma hiyo au kupakua yaliyomo huenda yakasababisha uhamishaji wa

viwango vikubwa vya data, ambayo inaweza kusababisha gharama ya trafiki ya data.

Kujifunza mengi, nenda kwa www.nokia.com/support.