Huduma za Nokia
Huduma za Nokia
Ukiwa na Huduma za Nokia, unaweza kupata maeneo na huduma mpya, na kuwasiliana
na marafiki wako. Kwa mfano, unaweza kufanya yafuatayo:
•
Pakua michezo, programu tumizi, video, na toni za mlio kwenye simu yako
•
Pata akaunti ya bure ya Barua ya Nokia
•
Pata muziki
Vipengele vingine havina malipo, vingine huenda ukavilipia.
Huduma zinazopatikana huenda zikatofautiana kiinchi au kieneo, na sio lugha zote
zinazokubaliwa.
Ili utumie Huduma za Nokia, unahitaji akaunti ya Nokia. Wakati unapofikia huduma
kwenye simu yako, utaulizwa kuunda akaunti.
Kwa maelezo zaidi, nenda kwa www.nokia.com/support.