Nokia C2 05 - Hakimiliki na ilani nyingine

background image

Hakimiliki na ilani nyingine

TANGAZO LA UKUBALIFU

Sisi, NOKIA CORPORATION tunatangaza kwamba bidhaa hii RM-724 inatimiza mahitaji muhimu na maandao mengine

yanayolingana na Maagizo ya 1999/5/EC. Nakala ya tangazo la Ukubalifu inaweza kupatikana kutoka http://www.nokia.com/

global/declaration.

© 2011-2013 Nokia. Haki zote zimehifadhiwa.

Nokia, Nokia Connecting People na WE: nembo ni alama za biashara au alama zilizosajiliwa za Nokia Corporation. Nokia tune

ni sauti dhahiri ya Nokia Corporation. Majina mengine ya bidhaa na ya makampuni yaliyotajwa humu ndani yanaweza kuwa

ni alama za biashara au majina ya biashara ya hao wamiliki.

Ni marufuku kutoa upya, kuhamisha, kusambaza au kuhifadhi sehemu au yote yaliyomo katika waraka huu katika hali yoyote

ile bila ya kupewa kwanza idhini ya kimaandishi na Nokia. Nokia inaendesha sera ya kuendelea kubuni. Nokia ina haki ya

kufanya mabadiliko na kuboresha bidhaa yake yoyote iliyoelezwa katika waraka huu bila ya kutoa taarifa kwanza.

Includes RSA BSAFE cryptographic or security protocol software from RSA Security.

Java is a trademark of Sun Microsystems, Inc.

The Bluetooth word mark and logos are owned by the Bluetooth SIG, Inc. and any use of such marks by Nokia is under license.

Bidhaa hii ina leseni ya 'MPEG-4 Visual Patent Portfolio License' (i) kwa ajili ya matumizi binafsi na yasiyo ya kibiashara

kuhusiana na taarifa ambazo zimewekwa kiusiri kwa kufuata viwango vya vitu vinavyoangaliwa vya MPEG-4 {'MPEG-4 Visual

Standard'} kwa mtumiaji anayeshughulika na mambo binafsi na yasiyo ya kibiashara na (ii) kwa matumizi yanayohusiana na

video ya MPEG-4 iliyotolewa na mtoa video mwenye leseni. Hakuna leseni iliyotolewa au itakayotumiwa kwa matumizi

mengine. Habari za ziada, pamoja na zile zinazohusiana na matumizi ya ukuzaji, kindani, na biashara zinaweza kupatikana

kutoka kwa MPEG LA, LLC. Angalia http://www.mpegla.com.

Mpaka kwenye kiwango cha juu kinachoruhusiwa na sheria husika, katika mazingira yoyote yale Nokia au wenye leseni yake

hawatahusika kwa upotevu wowote wa data au mapato au uharibifu wowote ule, uwe maalum, wa ajali, unatokana na, au

usiokuwa wa moja kwa moja uliosababishwa vyovyote vile.

Hakimiliki na ilani nyingine

39

background image

Yaliyomo katika waraka huu yanatolewa "kama yalivyo". Isipokuwa kama inatakiwa hivyo na sheria husika, hakuna dhamana

za aina yoyote, ama za moja kwa moja au zisizo bayana, pamoja na, lakini isiyokomea hapo, dhamana zisizo bayana za uuzikaji

wa kibiashara na ufaaji kwa matumizi fulani, zinazotelewa kuhusiana na usahihi, uaminikaji au yaliyomo ndani ya waraka huu.

Nokia ina haki ya kupitia na kusahihisha waraka huu au kuuondoa wakati wowote bila kutoa taarifa kwanza.

Upatikanaji wa bidhaa, nduni, programu-tumizi na huduma huenda zikatofautiana kimaeneo. Kwa maelezo zaidi, wasiliana

na muuzaji wako wa Nokia au mtoa huduma wako. Kifaa hiki kinaweza kuwa na bidhaa, teknolojia au maunzi laini ambayo

yanaathiriwa na sheria na kanuni za usafirishaji nje ya nchi kutoka Marekani na nchi nyingine. Uchepushaji kwa hila kinyume

cha sheria ni marufuku.

Nokia haina wajibu wowote wa kutoa msaada wowote kwa mtumiaji, ufanyaji kazi, yaliyomo, au usaidizi wa mtumiaji wa

programu tumizi za mhusika mwingine zilizotolewa na kifaa chako. kwa kutumia programu tumizi, unakubali ya kwamba

programu tumizi imetolewa jinsi ilivyo. Nokia haitoi uwakilishi wowote, kutoa waranti, au kuwajibika kwa ufanyaji kazi,

yaliyomo, au usaidizi wa mtumiaji wa programu tumizi za mhusika mwingine zilizotolewa na kifaa chako.

Upatikanaji wa huduma za Nokia huenda ukatofautiana kimaeneo.

/Toleo la 1.4 SW

40

Hakimiliki na ilani nyingine