Nokia C2 05 - Ongeza njia za mkato kwenye skrini kaya yako

background image

Ongeza njia za mkato kwenye skrini kaya yako
Unataka kufungua programu tumizi zako vibwedo moja kwa moja kutoka kwenye

skrini kaya yako? Unaweza kuongeza njia za mkato kwenye nduni zako zilizotumiwa

sana.

1 Kwenye skrini kaya, tembeza juu au chini, na uchague

Chaguzi

>

Bin'isha

muonekano

.

2 Chagua upau, na uchague kipengele, kama vile wijeti na

Tayari

.

Kidokezo: Ili kuondoa programu au njia ya mkato kutoka kwenye skrini kaya, chagua

Chaguzi

>

Weka ka. haina kitu

.

Badilisha njia ya mkato kwenye wijeti ya njia ya mkato

1 Kwenye skrini kaya, tembeza njia ya mkato unayotaka kubadilisha, na uchague

Chaguzi

>

Badili njia ya mkato

.

2 Chagua kipengee unachotaka kutoka kwenye orodha.

Kidokezo: Ili kubadilisha njia zote za mkato kwa wakati mmoja, chagua

Chagu. njia z.

mkato

.