Nokia C2 05 - Kuhusu skrini kaya

background image

Kuhusu skrini kaya
Katika skrini kaya, unaweza:

Angalia arifu za simu zisizojibiwa na ujumbe uliopokewa

Fungua programu tumizi yako kipendwa

Ongeza njia za mkato za nduni tofauti, kama vile kuandika ujumbe