
Binafsisha toni za simu yako
Unaweza kubinafsisha toni za mlio na kitufe na toni za onyo kwa kila mfumo.
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
na
Toni
.
Badilisha sauti ya mlio
Chagua
Toni ya mlio:
>
Chaguzi
>
Badili
, na uchague toni ya mlio.
Kidokezo: Pakua toni zaidi za mlio kutoka kwa Stoo ya Nokia. Kujifunza mengi kuhusu
Stoo ya Nokia, nenda kwenye www.nokia.com/support.
Badilisha sauti ya toni za vitufe
Chagua
Toni za vitufe:
, na tembeza kushoto au kulia.
Binafsisha simu yako
19