Nokia C2 05 - Binafsisha skrini kaya yako

background image

Binafsisha skrini kaya yako
Unataka kuona mandhari yako unayopenda au picha ya familia yako katika usuli wako

wa skrini kaya? Unaweza kubadilisha pazia hii, na kupanga upya kipengee katika skrini

kaya yako, ili kuibinafsisha vile upendavyo.

Badilisha pazia

1 Chagua

Menyu

>

Mipangilio

na

Uonyeshaji

>

Karatasi ya ukutani

.

2 Chagua folda na picha.

Unaweza pia kupiga picha na kamera ya simu yako, na utumie picha hiyo.

18

Binafsisha simu yako

background image

Kidokezo: Pakua pazia zaidi kutoka kwa Stoo ya Nokia. Kwa maelezo zaidi, nenda kwa

www.nokia.com/support.

Ili kupanga upya vipengee kwenye skrini kaya, badilisha upya njia za mkato na zingine

mpya.