Tuma barua
Chagua
Menyu
>
Barua
na akaunti ya barua.
1 Chagua
Chaguo
>
Tunga mpya
.
2 Ingiza anwani ya barua ya mpokeaji na mada, na andika ujumbe wako.
3 Kuambatisha faili, kwa mfano, picha, chagua
Chaguo
>
Am'tisha
>
Ambatanisha
faili
.
4 Kuchukua picha ili kuunganisha barua, chagua
Chaguo
>
Am'tisha
>
Ambati.
picha mpya
.
5 Chagua
Tuma
.