Sogoa na marafiki wako
Chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Soga
.
Unaweza kuwa na mazungumzo yanayoendelea na wawasiliani kadhaa kwa wakati
mmoja.
1 Ingia kwa huduma ya soga.
2 Katika orodha yako ya wawasiliani, chagua mwasiliani unayetaka kusogoa naye.
3 Andika ujumbe wako katika kikasha cha barua chini ya kiwamba.
4 Chagua
Tuma
.
26
Barua na Soga