Kuhusu Soga
Chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
>
Soga
.
Unaweza kubadilisha ujumbe wa papo hapo na marafiki wako. Soga ni huduma ya
mtandao. Kama huna akaunti ya soga, unaweza kuunda akaunti ya Nokia, na utumia
Soga ya Nokia.
Unaweza kuacha programu tumizi ya Soga ikiendeshwa kwenye usuli wakati unatumia
nduni zingine kwenye simu yako, na bado utaweza kuarifiwa juu ya ujumbe mpya wa
haraka.
Kutumia huduma hiyo au kupakua yaliyomo huenda yakasababisha uhamishaji wa
viwango vikubwa vya data, ambayo inaweza kusababisha gharama ya trafiki ya data.