Kuhusu Barua
Chagua
Menyu
>
Barua
.
Unaweza kutumia simu yako ili kusoma na kutuma barua kutoka kwa akaunti zako za
barua kutoka kwa watoa huduma tofauti wa barua.
Kama tayari huna akaunti ya barua, unaweza kuunda akaunti ya Barua ya Nokia. Kwa
maelezo zaidi, nenda kwa www.nokia.com/support.
Barua na Soga
25