Nokia C2 05 - Ongeza neno linalokosekana kwenye kamusi

background image

Ongeza neno linalokosekana kwenye kamusi
Kama ? imeonyeshwa wakati unapoingiza neno kwa kutumia uingizaji maandishi ya

ubashiri, neno haliko kwenye kamusi. Unaweza kuiongeza kwenye kamusi iliyojengewa

ndani.

1 Chagua

Tahajia

.

2 Andika neno kwa kutumia uingizaji maandishi ya kawaida.
3 Chagua

Hifadhi

.