
Andika kwa kutumia uingizaji maandishi ya ubashiri
Kamusi iliyojengewa ndani inapendekeza maneno unavyobonyeza vitufe vya nambari.
1 Bonyeza kila kitufe cha nambari (2-9) mara moja kwa kila kibambo.
2 Bonyeza * kwa kurudia, na uchague neno unalotaka kutoka kwa orodha.
3 Kuthibitisha neno, sogeza kasa mbele.