Nokia C2 05 - Badilisha kati ya modi ya uingizaji maandishi

background image

Badilisha kati ya modi ya uingizaji maandishi
Wakati unapoandika maandishi, unaweza kutumia uingizaji maandishi ya

kitamaduni

au ya kutabirika.

,

, na

huashiria hali za vibambo.

huashiria kwamba modi ya nambari

imeamilishwa.

Amilisha au lemaza modi ya uingizaji maandishi ya ubashiri
Chagua

Chaguzi

>

Kubashiri

>

Kutabirik. k'washwa

au

Kutabiri. k'ezimwa

. Siyo

lugha zote zinazokubaliwa na uingizaji maandishi ya kutabirika.

Badilisha kati ya vibambo vya herufi
Bonyeza #.

Amilisha modi ya nambari
Bonyeza na ushikilie #, na uchague

Modi ya namba

. Kurudi kwa modi ya barua,

bonyeza na ushikilie #.

Kidokezo: Kuingiza haraka nambari ya kila mtu, bonyeza na ushikilie kitufe cha

nambari.

Seti lugha ya kuandika
Chagua

Chaguzi

>

Lugha/kuandika

.

Kidokezo: Kuamilisha modi ya nambari, amilisha au lemaza modi ya uingizaji

maandishi ya ubashiri, au seti lugha ya kuandika, unaweza pia kubonyeza na kushikilia

#, na kuchagua chaguo linalofaa.

Andika maandishi

15