Nokia C2 05 - Andika kwa kutumia uingizaji maandishi ya kawaida

background image

Andika kwa kutumia uingizaji maandishi ya kawaida
1 Bonyeza kitufe cha nambari, (2 -9) mfululizo, hadi kibambo iknachotakiwa

kitokee.

2 Ingiza kibambo kinachofuata. Ikiwa iko kwenye kitufe sawia, subiri hadi kasa

ionyeshwe, au sogeza kasa.

Herufi zinazopatikana zinategemea lugha iliochaguliwa.

Sogeza kasa
Tembeza kushoto au kulia.

Ingiza alama ya kawaida ya kituo
Bonyeza 1 kwa kurudia.

Ingiza kibambo maalum
Bonyeza *, na uchague kibambo kinachotakikana.

Ingiza nafasi
Bonyeza 0.